Wazo zuri la kulipa kidogokidogo. Katikati ya malipo kiwanja hakiwezi kupewa mtu atakayelipa "Cash" na mnunuzi wa kudunduliza kurudishiwa hela zake?
Na pia naona kama vile mita moja ya mraba inauzwa tofauti kutegemeana na ukubwa wa kiwanja. KWA NINI vyote havina bei sawa kwa mita moja ya mraba?