Viwanja kuanzia 100000 (laki 1) hii imekaaje?

Viwanja kuanzia 100000 (laki 1) hii imekaaje?

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Kuna kampuni moja inatangaza inauza viwanja kwa ofa kuanzia laki moja (20x20) maeneo ya Bagamoyo.

Mwenye taarifa zaidi?

Chanzo E.FM
 
Kuwa makini sana na hizo kampuni,,, kiwanja unaweza nunua leo halafu after 15 years ukaja letewa zengwe....

Zingatia ramani zao na kajiridhishe kwenye mamlaka husika.
 
Bagamoyo kubwa kuna vijiji iyo bei ni kawaida.

Ama kuna mtu wameshamuandaa nyuma ya pazia anaenda kuchukua hekari za kutosha
 
Inaweza kua Bei hiyo ila wakawa na kuanzia hekari fulani...
 
Back
Top Bottom