L Lady Mwali Senior Member Joined Nov 15, 2018 Posts 147 Reaction score 333 Jan 12, 2022 #1 Kuna kampuni moja inatangaza inauza viwanja kwa ofa kuanzia laki moja (20x20) maeneo ya Bagamoyo. Mwenye taarifa zaidi? Chanzo E.FM
Kuna kampuni moja inatangaza inauza viwanja kwa ofa kuanzia laki moja (20x20) maeneo ya Bagamoyo. Mwenye taarifa zaidi? Chanzo E.FM
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,920 Reaction score 8,675 Jan 12, 2022 #2 Kuwa makini sana na hizo kampuni,,, kiwanja unaweza nunua leo halafu after 15 years ukaja letewa zengwe.... Zingatia ramani zao na kajiridhishe kwenye mamlaka husika.
Kuwa makini sana na hizo kampuni,,, kiwanja unaweza nunua leo halafu after 15 years ukaja letewa zengwe.... Zingatia ramani zao na kajiridhishe kwenye mamlaka husika.
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 Jan 12, 2022 #3 Bagamoyo kubwa kuna vijiji iyo bei ni kawaida. Ama kuna mtu wameshamuandaa nyuma ya pazia anaenda kuchukua hekari za kutosha
Bagamoyo kubwa kuna vijiji iyo bei ni kawaida. Ama kuna mtu wameshamuandaa nyuma ya pazia anaenda kuchukua hekari za kutosha
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jan 12, 2022 #4 Inawezekana, kuna maeneo ekari moja ni laki moja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 12, 2022 #5 Inaweza kua Bei hiyo ila wakawa na kuanzia hekari fulani...