Kwenye hiyo ramani Beach ipo upande gani?[emoji2513]NEW BEACH PLOTS AT KIGAMBONI CHEKA [emoji305]
[emoji117]24km kutoka kigamboni ferry mpaka cheka stand
[emoji117]2.5km kutoka cheka stand mpaka site
[emoji117]500m kutoka site mpaka Mbutu public beach [emoji305]
[emoji94] umeme, maji vyote vipo
[emoji383]square meter 1 ni 13,000 cash
[emoji383]square meter 1 ni 20,000 malipo ya miez 18
[emoji338]whatsapp/call 0786056135View attachment 1709259View attachment 1709260
Mtupe updates ya viwanja vilivyopo na bei zake, wengine wanajiunga humu wapya watataka kuona kunaendaje-update map, kigamboni buyuni, viwanja bado vipo
-na unaweza kulipia 105,000 kila mwezi kwa kiwanja cha sqm400
-sqm 1 ni 4700View attachment 1720067View attachment 1720068View attachment 1720070
Mwongozo ndio wapiKuna jamaa yangu anauza 1.7 kipo Mwongozo kibaoni
hiki kilisha chukuliwa au bado?-kuna kiwanja kimebaki kimoja kigamboni buyuni cha 20×13.5 kwa bei
ya 807,000
Kipo sehemu gani,hiki kimeshauzwa kipo cha 20m ×15.5m ambacho ni 1,244,000
KigamboniMwongozo ndio wapi