chanika holdings
Member
- Mar 16, 2014
- 25
- 3
Tuna viwanja vidogovidogo vinaangalia lami maeneo ya Chanika barabara ya kuelekea Mvuti,ni Mita 20x18(<>),bei kuanzia Millioni 2.5/3.5/4.5
Mawasiliano:
chanikaholdings@yahoo.com
+255 687 978 751
Vinatazama lami,haviko kwenye hifadhi ya barabara,ukubwa ni kama viko sawa Mita 20 kwa 18(vinaweza zidi kidogo au kupungua kidogo) maana eneo haliko even ila ni tambarale
umbali kutoka njia kuu(lami) 30m umeuzingatia? usije ukawauzia watu barabara ya tanroad.
Kama umbali naotakiwa toka barabarani huwa ni mita 30, nimeshaumizwa!
Kama umbali naotakiwa toka barabarani huwa ni mita 30, nimeshaumizwa!