Matangazo yako huwa ni Incomplete huwa uweki bei ya kiwanja wala ukubwa wa kiwanja chenyewe,ni hilo,jitahidi uwe unaweka then mtu atakutafuta tuBei ni 3.5M mkuu wangu
Na kwenda eneo la tukio ni Bure ili ujiridhishe na kiwanja unachohitaji.
Nusu kilomita kutoka lami.Kl ngp toka road
Ukubwa wa kiwanja ni 23 kwa 20 mkuuUkubwa wa kiwanja..?