Viwanja vinauzwa mkundi sheli vina sifa zifuatazo:-
1: vimepimwa
2: umeme upo karibu
3: vipo karibu na hospitali ya wilaya
4: vipo karibu na huduma za maduka makubwa
5: vipo karibu na mashule mbali mbali
6: sehemu vilipo pamejengeka vizuri nyumba za hadhi
7: ardhi ni tambarale hutaingia gharama za ujenzi wa msingi .
8: bei ni kuanzia milion 5 na laki mbili kwa kiwanja chenye ukubwa wa sqm 694 au 20 kwa 37, vipo viwanja hadi vya sqm 1000 au 27 kwa 41\
Mkuu, una maeneo ambayo yamepangwa kwa ajilli ya matumizi ya huduma za kijamii Mfano.. Huduma za Afya? Hapo Manispaa Morogoro.
Kama ni NDIO... Naomba kujua Rate ya bei na eneo liko wapi.