Ardhi Kigamboni
Member
- Mar 31, 2016
- 44
- 6
Ardhi ni kwa wote lakini ardhi siyo bureHv kwanini nyinyi watumishi wa serikali mnapewa ardhi na serikali halafu mnauza? Mtajuta sana!!
KdaArdhi ni kwa wote lakini ardhi siyo bure
Kwenye tangazo ili hakuna 20 kwa 20 kuna square meter kuanzia 750Kwqa hivyo 20 kwa 20 itakuwa bei gani mdau
Vina hati mkuu!
Hv kwanini nyinyi watumishi wa serikali mnapewa ardhi na serikali halafu mnauza? Mtajuta sana!!
KdaLocation
Huo mji wa Kigamboni new city kwani bado kuna mpango wa kuuendeleza? Na kama kuna mpango, unaishia wapi?
Mkuu sq metre 22,000 nani kaidhinisha hii bei?
Hivi unafahamu kama kuna bei elekezi ya ardhi inaypangwa na serikali?New city mpango uko pale pale wamepunguza speed ya watu kupandisha Bei ya Ardhi hali ilikuwa mbaya serikali imetizama mbali na wachache wali
Nimeidhinisha Mimi ni eneo langu siyo Mali ya serikali.
Katika miradi, mashirika na tasisi za serikali siyo watu binafsi.Elekezi ktk mambo ya serikali na taasisi zake.Hivi unafahamu kama kuna bei elekezi ya ardhi inaypangwa na serikali?
KdaKwqa hivyo 20 kwa 20 itakuwa bei gani mdau
SawaMkuu sq metre 22,000 nani kaidhinisha hii bei?
SawaMkuu sq metre 22,000 nani kaidhinisha hii bei?