Viwanja sh. mil 4 kwa heka nzima Kongowe mwisho.

Viwanja sh. mil 4 kwa heka nzima Kongowe mwisho.

Swordfisher

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
233
Reaction score
37
Ninauza viwanja vinne vyenye heka 1 kila kimoja kwa sh. milioni 4 tu kwa kila heka. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
 
Funguka Mkuu. Kongowe wapi? Umbali gani toka barabarani! Vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji! Vina hati Maliki?
 
Funguka Mkuu. Kongowe wapi? Umbali gani toka barabarani! Vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji! Vina hati Maliki?
Ni Km 3 kutoka barabara ya lami, njia ni barabara ya vumbi inayopitika vizuri na maji ni ya kudrill na umeme uko karibu.
 
Kuna Kongowe mbili maarufu. Moja iko Kibaha nyingine iko Mbagala.
 
Umeweka km utani ila watu tutafika huko
 
Back
Top Bottom