Swordfisher JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 233 Reaction score 37 Jul 20, 2013 #1 Ninauza viwanja vinne vyenye heka 1 kila kimoja kwa sh. milioni 4 tu kwa kila heka. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
Ninauza viwanja vinne vyenye heka 1 kila kimoja kwa sh. milioni 4 tu kwa kila heka. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Jul 20, 2013 #2 Funguka Mkuu. Kongowe wapi? Umbali gani toka barabarani! Vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji! Vina hati Maliki?
Funguka Mkuu. Kongowe wapi? Umbali gani toka barabarani! Vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji! Vina hati Maliki?
Swordfisher JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 233 Reaction score 37 Jul 20, 2013 Thread starter #3 Eeka Mangi said: Funguka Mkuu. Kongowe wapi? Umbali gani toka barabarani! Vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji! Vina hati Maliki? Click to expand... Ni Km 3 kutoka barabara ya lami, njia ni barabara ya vumbi inayopitika vizuri na maji ni ya kudrill na umeme uko karibu.
Eeka Mangi said: Funguka Mkuu. Kongowe wapi? Umbali gani toka barabarani! Vipi miundombinu! Barabara, umeme na maji! Vina hati Maliki? Click to expand... Ni Km 3 kutoka barabara ya lami, njia ni barabara ya vumbi inayopitika vizuri na maji ni ya kudrill na umeme uko karibu.
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,040 Reaction score 7,303 Jul 20, 2013 #4 Kuna Kongowe mbili maarufu. Moja iko Kibaha nyingine iko Mbagala.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Jul 20, 2013 #5 Umeweka km utani ila watu tutafika huko
Swordfisher JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 233 Reaction score 37 Jul 21, 2013 Thread starter #6 Jile79 said: Umeweka km utani ila watu tutafika huko Click to expand... Sifanyi utani mkuu.