Nakas property
Member
- May 8, 2021
- 34
- 18
viwanja vipo cheka kigamboni
Vina ukubwa tofauti vipo karibu
Na chuo cha Afya na Biashara
Unaweza Jenga hostel ukapiga pesa
Bei kuanzia milioni tatu na laki tano
Tu ml 3.5 nicheki 0787672719
0767672719
View attachment 1954978View attachment 1954979View attachment 1954980
Vipo kilometers 19 kutoka ferryUmbali wa kilometa ngap kutoka ferry?
Vina ukubwa gan??
Vipo umbali wa kilometa ngap kutoka barabara kuu ya kimbiji/ferry?
Vimepimwa??
Vina hati??
HavijapimwaVimepimwa?
Vina ukubwa ganVipo kilometers 19 kutoka ferry
Mita 300 toka barabara kuu na
Tumevikata havina Hati jukumu la upimaji la mnunuzi kulipia upimaji shirikishi
Kesho mchana nakuja kuvionaVina ukubwa gan
KaribuKesho mchana nakuja kuviona
KimyaKesho mchana nakuja kuviona
20×20Ukubwa wa viwanja hujaweka wazi mheshimiwa