Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
NA HIVI NDIO VIWANJA VIGUMU SANA KWENYE MASHINDANO YA VILABU ULAYA... CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPE LEAGUE YALIYO MALIZIKA
....Naaam! Wakati michuano ya ulaya ngazi ya vilabu ikiwa imesha pita watu tuna jiandaa na msimu mpyaa basi sio mbaya kutambua viwanja vigumu ambavyo havijawahi kuacha point zote tau....
.
.
.
ANFIELD:
Machinjio ya kutisha haya yanayo milikiwa na majogoo wa jiji Liverpool,
Hapa kila anae fika hapo basi kuna options mbili tu, kuziacha points zote tatu au kuchukua point moja tu!!
Kipigo cha mwisho kwenye michuano hiyo ya UEFA alikipokea Barcelona kile tunaita kipigo cha paka mwizi....
.
.
.
CAMP NOU
Machinjio haya ya kutisha kwa msimu huu, kila alie ingiza miguu yake basi unakutana na options mbili tu, kuziacha points zote tatu au kuondoka na point moja tu, na ukiondoka na point moja basi Shukuru sana mungu wako maana hiyo sehemu sio salama kwa mwenyeji kwa michuano iliyo pita ya UEFA....
.
.
.
STAMFORD BRIDGE
Machinjio haya yanayo milikiwa na The Blues, hapa kwenye michezo ya Europe MPAKA inaisha Chelsea ndio timu pekee haikupoteza mchezo hata mmoja kwenye nyasi zake pale kila aliyekuja pale darajani basi kulikuwa na options mbili tu kupigwa au sare basi,....
.
.
.
EMIRATES STADIUM
Haya ndio machinjio ambayo hakuna mtu hata mmoja aliwahi kupata sare hapo, kila aliye ingia aliaziacha points zote tatu, haya machinjio yanamilikiwa na klabu ya Arsenal, hakuna mtu akiwahi kuondoka na points hapo kwenye uwanja wa Arsenal...
:NA HAYO NDIO MACHINJIO YA KUTISHA NILIYO YA SHUHUDIA KWA MSIMU HUU ULIO MALIZIKA KWA MICHUANO YA UEFA, KAMA KUNA CHINJIO NIMELISAHAU BASI NA WEWE ORODHESHA HAPO.. TWENDE SAWA: