Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Viwanja hivi vipo Msalato njia ya Kondoa - Arusha kimoja kina ukubwa wa zaidi ua eka moja na ramani ya mchoro tayari imeshapitishwa na Mamlaka husika
Viwanja vingine vipo Nala Mizani njia ya Singida - Mwanza vipo barabarani kabisa ni vizuri kwa uwekezaji ni zaidi ya eka 2 (kimojawapo)
NiPM kwa mawasiliano zaidi
na kama upo mbali tuma hata muwakilishi