Plot4Sale Viwanja vikubwa vilivyopo Dodoma Manispaa kwa ajili ya kuwekeza vituo vya mafuta

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,383
Reaction score
11,197

Viwanja hivi vipo Msalato njia ya Kondoa - Arusha kimoja kina ukubwa wa zaidi ua eka moja na ramani ya mchoro tayari imeshapitishwa na Mamlaka husika

Viwanja vingine vipo Nala Mizani njia ya Singida - Mwanza vipo barabarani kabisa ni vizuri kwa uwekezaji ni zaidi ya eka 2 (kimojawapo)

NiPM kwa mawasiliano zaidi
na kama upo mbali tuma hata muwakilishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…