Viwanja vilivyopimwa Bagamoyo Mjini na Morogoro Msamvu

Viwanja vilivyopimwa Bagamoyo Mjini na Morogoro Msamvu

Gea1

Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
7
Reaction score
3
Karibuni, viwanja vipo Bagamoyo karibu na ofisi za mradi wa malaria kwa mkoa wa pwani. na km 1 kutoka bahari ya Hindi.
MOROGORO, vipo Morogoro Kwa mkundi makunganya.. bei kwa square metre ni sh 10000 Jirani na ENGEN PETROL STATION. UMEME UPO. BARABARA YA KWENDA DODOMA,, hata kiwanja cha kujenga nursery school kipo ni pazuri sana.

BAGAMOYO, Viwanja vimepimwa vina ubora mzuri ...vya makazi sh 12000 kwa square metre na vya biashara ni sh 13000 kwa square metre.. Nikisema vya biashara namaanisha vinavyo angaliana na barabara yaani vya mbele kabisa.

Nunua upate hati miliki yako mkononi.

MAWASILIANO : +255777728232🙏

IMG_20200818_104457.png
IMG-20200811-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom