Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa jijini Mbeya

joint

Senior Member
Joined
May 26, 2018
Posts
108
Reaction score
99
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa jijini mbeya. Maeneo ya Isyesye na Iwambi Maeneo ya karibu kabisa na City Center.
Viwanja vipo vya matumizi mbalimbali kama vile makazi, makazi biashara, na biashara.
Viwanja vinaanzia 400sqm
Bei yake ni 10000 per square meter
 
Mkuu mngeweka picha nyingi za viwanja ingependeza sana
 
Isyesye iko wapi?
Isyesye iko just nyuma ya NaneNane John Mwakangale grounds ni usawa wa lile daraja la treni palipoandikwa 'Karibu Mbeya' unaweza kuingilia pale au ukaingilia hapa JKT palepale mkabala na shamba la kilimo Uyole...kiashiria maarufu huko isyesye ni Redio Ushindi ikiwa unataka kufika kirahisi....kuna makazi ya kitasha sana neighbourhood za kijanja hasa Isyesye bondeni. Karibu Isyesye
 
Okay nimekupata mkuu, nilichanganya nikafikiri ipo iwambi
 
Shukran mkuu kwa maelezo
 
Mkuu, naomba uzoefu wake.... nimesoma sehemu wanasema Isyesye ni "Wet land" areas. Kwamba Ardhi yake inajaa maji sana kipindi cha masika.
 
Mkuu, naomba uzoefu wake.... nimesoma sehemu wanasema Isyesye ni "Wet land" areas. Kwamba Ardhi yake inajaa maji sana kipindi cha masika.
Isyesye bonden (viwanja vipya) sasa hv wamechonga mitaro mingi sana ndio maana ata matajri wameamua kujenga kule chin na viwanja vimekaa vizur sana kwa mara ya mwisho mwaka jana natoka kule niliacha wanajenga daraja maana mitaro mingi imeelekezwa tayar kwenye mtaro mkuu.
Ingekuwa pabovu wasingejenga vile wala kuuza viwanja ghali ukumbuke kwa mbeya ukitoa Forest, iwambi inafuata isysye kwa kujengwa na kupangwa vizur. Block T nmetoa maana ni ya zaman
 
Nashukuru Mkuu kwa uzoefu wako. Ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…