Dennis Manyama
New Member
- Aug 14, 2019
- 3
- 1
Namna ya malipo ni ndani ya mwaka mmoja lakini utaanza na asilimia 35 kama malipo ya awali kisha inayobaki inalipwa ndani ya miezi 11.Mi nahitaji kibaha naomba sifa ya kupata mkopo na namna ya urejeshaji?
Ni za kawaida tu kwani tupo ndani ya bei elekezi za wizara.Bei zimesimamia kucha..