Tunauza viwanja vilivyopimwa maeneo ya Mvuti - kupita Chanika,kwenye barabara ya kuelekea uwanja wa Chamazi mpaka Mbagala.
Viko Mita 60 toka kwenye lami,viko kwenye mtaa na maeneo yameshaendelezwa.
Vina ukubwa wa SqM 432 (Tshs 3,500,000) / SqM 700,800,900 (Tshs 5,000,000) kwa kila kimoja,
Mawasiliano : 0656 33 50 33 / 0767 17 17 44
C.H