Viwanja vilivyopimwa na serikali vinauzwa wilaya ya kilindi

Viwanja vilivyopimwa na serikali vinauzwa wilaya ya kilindi

MAKOLA

Member
Joined
Jun 5, 2010
Posts
46
Reaction score
16
Wajumbe wilaya hii ni mpya imezaliwa kutoka wilaya ya handeni, mradi wao unaviwanja 570 bei yao ni tsh 500 kwa square mita wametangaza kwenye magazeti simu zilizoandikwa kwenye magazeti za maafisa wanaohusika wa ardhi ni o787737616 au 0653792114 au 0756332665 haya wajasiliamali mshindwe nyinyi mimi nimeshamwaga maopportunity hayo someni gazeti la mwananchi
 
Bei sio mbaya,malipo si yanafanyikia huko huko Kilindi H/shauri?
 
sasa mkuu hekta 1 ni squre mita ngapi? Nahitaji nusu hekta
 
Tunasubiri tujue hekta moja ni shilingi ngapi maana unajua wengine hesabu ndiyo hivyo mwl.wa hesabi alikuwa akiingia unapishana naye mlangoni.
 
70*70=4900*500=2,450,000/= heka moja hiyo mkuu.

Hapo haujamsaidia huyu mtu! Umempatia jibu la heka yaani Acre ilhali yeye anataka jibu la hekta yaani Hectre. Ukumbuke kuwa hectre ni kubwa kuliko acre.
 
Inaeleweka mkuu! Wengi wetu huna tunachanganya kati ya acre na hectre.
Hapo haujamsaidia huyu mtu! Umempatia jibu la heka yaani Acre ilhali yeye anataka jibu la hekta yaani Hectre. Ukumbuke kuwa hectre ni kubwa kuliko acre.
 
Hapo haujamsaidia huyu mtu! Umempatia jibu la heka yaani Acre ilhali yeye anataka jibu la hekta yaani Hectre. Ukumbuke kuwa hectre ni kubwa kuliko acre.

Sorry:

1 Hectare = 10000 Square Meters

So will be 10,000*500=5,000,000/=
 
70*70=4900*500=2,450,000/= heka moja hiyo mkuu.
Naomba nitofautiane na wewe kama nitakosea nirekebishwe.
Eka (acre) moja sio
sqm 4900, ni pungufu ya hapo "equal or less than 4200sqm".
Pia naamini ni "Eka" (acre) na sio "Heka".
Kusema eka ni 70 x 70 sijui ilianzaje/imetoka wapi ila nakubali kuwa ndivyo wengi wanavyopima maeneo yao BUT huwa wanahesabu hatua za miguu ambazo huwa ni + or - 1 meter.
Nawasilisha
 
70*70=4900*500=2,450,000\= heka moja hiyo mkuu.

Kweli da ni kila kitu,yani handeni waweza pata heka 1 kwa mil.2.4 du ngoja ninga'nganie dar hata kama nje ya mji coz ardhi yake ina thamani sana....
 
Naomba nitofautiane na wewe kama nitakosea nirekebishwe.
Eka (acre) moja sio
sqm 4900, ni pungufu ya hapo "equal or less than 4200sqm".
Pia naamini ni "Eka" (acre) na sio "Heka".
Kusema eka ni 70 x 70 sijui ilianzaje/imetoka wapi ila nakubali kuwa ndivyo wengi wanavyopima maeneo yao BUT huwa wanahesabu hatua za miguu ambazo huwa ni + or - 1 meter.
Nawasilisha

Inawezekana ikawa ni kweli kabisa mkuu,lakini mimi nimeandika hiyo through experience manake nilishauziwaga heka 5 maeneo ya Pangani Kibaha tukapima mita 70 kwa 70 kila heka,basi kama heka ni pungufu ya hiyo nitakua nimefaidika sana.
 
wakuu

1 acre = 4046.85 square meters

1 hector = 10,000 square meters

1 hector = 2.74 acres

weekend njema
 
Back
Top Bottom