exponential
Member
- Jul 1, 2017
- 91
- 61
Zidisha 500*20000Weka bei elekezi ya kiwanja
20,000 ya dalali kukupeleka,sio gharama ya sqmZidisha 500*20000
Ngapi20,000 ya dalali kukupeleka,sio gharama ya sqm
Nilisahau nimeshaweka boss,Weka bei elekezi ya kiwanja
Kama ungekuwa wewe dalali ungechaji vipi?Madalali hua mnajifanya kama watoto, kwenda kumuonesha mtu kiwanja unamchaji elf 20, alafu usafiri yeye ndo anagharamikia, akinunua akupe commission 5% na bado muuzaji anakupa commission
Yaani mmekaa kiwiziwizi sana
Hio pesa 20,000 mnachaji ni ya kipi haswa? Wakati biashara ikifanyika mnapata commission pande zoteKama ungekuwa wewe dalali ungechaji vipi?
Barabara ile ya Salasala kama unaelekea bigbrother bar, ukifika pale njia panda ya bigbrother unanyoosha.Hiyo Goba Muungano ipo wapi?umbali wa kilomita 6 kutoka mbuyuni/kunduchi kwenda uelekeo wa wapi?
Umetumia neno zuri " Biashara " , kwenye kila biashara kuna negotiations zinafanyika kama discounts.Hio pesa 20,000 mnachaji ni ya kipi haswa? Wakati biashara ikifanyika mnapata commission pande zote
Just like how doctors or lawyers charge people for a consultation fee before attending to them, some real estate agents also believe that they have the right to charge people before attending to their housing needs.Hio pesa 20,000 mnachaji ni ya kipi haswa? Wakati biashara ikifanyika mnapata commission pande zote