Iko hivi mfano hatua 20 kwa 20 au 20 kwa 30 Maana yake ni unazizidisha zenyewe kwa zenyewe Jumla ndo size ya eneo inatiwa square meter,au eneo la mraba mfano 20*20 ni square meter 400,na 20*30 ni square meter 600.Hivo hio square meter unaizidisha na bei ya kuuzia mfano 600*18000 ni Milioni 10 ndo bei ya uwanja,hivo hio Milioni 10 utailipaje unaigawa kwa muda uwezao kwa mujibu wa mkataba mfano miezi 3,6,12 tegemea na kampuni iuuzavyo.