makohnstruct
Member
- May 8, 2015
- 28
- 7
Hivi kutoka kariakoo hadi hapo mkuranga vilipo viwanja, je ni umbali wa KMs ngapi??
Mkwalia Kitumbo ni Mkuranga mjini, maeneo jirani zilipo ofisi za halmashauriHivi mkwalia ndo unashuka ule mlima kurungu??
Kwa ujumla, kutoka Kariakoo mpaka Mkwalia, haizidi kilomita 85Hivi kutoka kariakoo hadi hapo mkuranga vilipo viwanja, je ni umbali wa KMs ngapi??
Inachukua mpaka wiki 4Hati baada ya malipo kukamilika inachukua muda gani mpaka kuipata
Square meter 400, sawa na mita 20 x 20Hivi kiwanja cha makazi ya kawaida tu kinachukua square meter ngapi??
1 acre = 4047m²mimi mzito wa mahesabu
nisaidie acre moja maeneo tajwa apo juu ambao siyo beach ni shing ngapi?
Unaweza lipa kwa awamu. Awamu tulizonazo ni 2 tu.Aisee bei cheee
Hembu mkuu niambie,mnachukua kwa Awamu?
Maana mie nakuja Dar wiki Ijayo,sasa ningependa kujua awamu zenu mmezigawa vipi.Maana huu mpango umeingilia kati.
Je gharama za usafiri zipoje kwenda kuviona?
Maana nataka nije Mie,Wife,Brother,Mother,Sister na Watoto Wangu wawili of 7 and 11 yrs.
Ni hiyo ramani nyeupe, imeandikwa Block 'B' NganjeKatika hii ramani viwanja vya ufukweni (beach) ni vipi?
Kwa kuwa vimeshapimwa tayari, vya "low density" bei yake ni kati Tzs ngapi? Nina upenzi na maeneo hayo!Ni hiyo ramani nyeupe, imeandikwa Block 'B' Nganje
Na umbali kutoka Mkuranga mjini mpaka Nganje ni Km ngapi?Ni hiyo ramani nyeupe, imeandikwa Block 'B' Nganje
napajua pale kitumbo shule ya msingi nimejenga kanyumba kadogo keupe kana vioo vyeusi mtaa mzima niko peke yangu mwene nyumba nzuri kama ni pale bora ukanunue mwenewe heka moja unaweza pata kwa laki 5 ukifika mkuranga mjini boda boda hadi kitumbo buku jeroMkwalia Kitumbo ni Mkuranga mjini, maeneo jirani zilipo ofisi za halmashauri
Low density ni kuanzia milioni 12 na kuendeleaKwa kuwa vimeshapimwa tayari, vya "low density" bei yake ni kati Tzs ngapi? Nina upenzi na maeneo hayo!