Goba mpakani hiyo bei ya 30,000 square miter ni juu sana 30×30 ndo kiwanja cha kawaida ni 27m hapana hiyo hela ndefu sanaProperty Investors Company(PIC) inakuletea viwanja vilivyopimwa Dsm.
Location: Goba -Tegeta A
Price: 30000 per squaremeter
Distance: 100m from the main road ( Goba Mpakani)
Viwanja vimepimwa kwaajili ya makazi. Wahi Sasa bei inapungua vilevile utalipia kwa awamu kwa muda wa miezi 10.
Karibu ofisini Dar es Salaam.
Tupo Ubungo, Nyuma ya Ubungo Plaza.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0621399079
Na WhatsApp namba 0621399079.View attachment 1347213
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa watu wanaouza viwanja wanatupiga sana. Sometimes mpaka huruma aisee.Goba mpakani hiyo bei ya 30,000 square miter ni juu sana 30×30 ndo kiwanja cha kawaida ni 27m hapana hiyo hela ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app