Begumisa Kanyabiango
Member
- Sep 27, 2019
- 17
- 7
Bei?Kampuni ya uuzaji na upimaji wa viwanja ya MAKAZI SOLUTION iliyopo Kinondoni TX inapenda kukutangazia kuwa vuwanja vya mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu vinapatikana kwa maeneo ya Kigamboni,Mvuti,Mbezi ya kimara,Kibaha misugusugu,Dodoma,Tanga na maeneo mengine mengi karibu sana kwa mawasiliano piga namba 0658107756
Nyinyi jamaa viwanja mnavyuza hamna hata hati...its pathetic...kampuni nyingi hz zinazouza ardhi mnafanya biashara kihuni huni sanaKampuni ya MAKAZI SOLUTION LTD inayohusika na upimaji,urasimishaji pamoja na uuzaji wa viwanja inakutangazia kuwa viwanja vinapatikana kwa mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu
Viwanja vyetu vina ukubwa wa kuanzia square metres 400 na kuendelea na kila square metre moja inauzwa kwa sh.8500
Tuna viwanja maeneo ya Kigamboni,Mvuti,Mbezi ya kimara eneo la Kwembe nk
Kwa mawasiliano piga namba 0658107756View attachment 1218020View attachment 1218021View attachment 1218022View attachment 1218023
Kampuni imekaa kihuni huni sana hiyo... njoo inbox nina pros wa geo informaticsKupima kiwanja 1200sqm maeneo ya kibaha bei gani?
Asante kwa taarifa, Ila wadau wengi wanakimbilia makao makuu ya nchi,huko dar uuzaji wa viwanja utasubiri kidogo pia punguza bei per square meterHabari
Kampuni ya urasimishaji,upimaji pamoja na upangaji wa ardhi iliyosajiliwa chini ya Bodi ya mipango miji Tanzania inawakumbusha kuwa viwanja bado vipo
Viwanja vipo maeneo ya Mbezi ya kimara eneo la Kwembe, Mvuti njia panda chanika,Kigamboni,kibaha na maeneo mengine
Bei kwa 1M² inaanzia shilingi 7000 mpaka 8500
Viwanja vinauzwa kwa mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka miwili
Na pia ukianza kukilipia kiwanja utaruhusiwa kuanza kukitumia
Kwa mawasiliano piga namba 0658107756View attachment 1296969View attachment 1296970View attachment 1296971View attachment 1296972
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiria jibu nami nipate pakuanziaBegumisa Kanyabiango,
Mzee viwanja kigamboni vipo maeneo gani?
Viwanja vya square metre 800 nawezapata kwa bei gani?