Plot4Sale Viwanja vinauzwa Bagamoyo

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Bagamoyo

AjunaFelix

New Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
2
Reaction score
6
Karibu jariq investment.
MRADI MPYA WA VIWANJA NAFUU JANUARY HII.
BAGAMOYO-MSATA eneo linaloitwa Masugulu

🩸Umbali ni km3 toka masugulu center ambako ndiko inapita barabara kuu ya Bagamoyo -msata (Tanga).

🩸Ukitoka Dar, fika Bagamoyo round about. Chukua barabara ya Tanga (msata).

🩸Eneo lina mazingira tulivu na tambalale.

🩸Eneo limepimwa na tayari ramani ipo.
Bei ni tsh 270, 000/- kwa sqm 600.
[emoji590]Tunaenda kuona mradi kila wikendi au kila siku kwa mteja wa viwanja zaidi ya 3.
Nauli ni tsh 10, 000/-

🛞 kumbuka, mteja wa plot 3 au zaidi anapata tofari 100 bure toka kwenye kampuni yetu

[emoji338][emoji338]Wasiliana nasi 0762040557
Au 0762625515.

[emoji2773]Au njoo ofsini, Manzese darajani, jengo la fabrck gorofa ya 3.
......[emoji166][emoji166][emoji166][emoji166]........
TWENDE%202.jpg
 
Back
Top Bottom