mlokole estate
Member
- Aug 14, 2017
- 25
- 28
Vimepimwa au ni squattersViwaja vinauzwa kibamba,mbezi,chanika kibaha,mbagara,tabata,bunju, bei kuanzia laki nane hatua 25 kwa 25 mawasiliano 0717342414/0764816096/0788492588
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli ukipata kiwanja kwa hiyo bei unategemea kiwe kimepimwa kweli au squater?? Maswali mengine bored.. Bora utilize kichwa uwaze kabla yakuuliza
Kwani ametaja Tabata tu peke yake??
itakuwa Tabora hatujasikia vizuri
Mwache jibu otherwise ilitakiwa aseme kuwa hiyo laki 8 sio TabataKwani ametaja Tabata tu peke yake??
Kwanini usiwaze kwamba Hicho cha laki 8 kitakua sehemu zingine alizotaja tofauti na tabata??