Viwanja vinauzwa Dege-Kigamboni viko 2-in-1 vina Title Deed

Orrionorri

Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
21
Reaction score
5
Viko upande wa beach, opposite na mradi wa magorofa/appartments eneo la Dege, Kigamboni. Viko pamoja (two-in-one), total area more than 1,700sqm. Kila kimoja kina Title Deed yake. Bei kwa kimoja ni USD 50,000. Ukitaka vyote viwili ni USD 90,000. Serious buyers only, just PM au tuma email: orrionorri@gmail.com
 

Hahahahaha hatariiii
 
Mradi wa ujenzi wa hizo appartments za Kigamboni unaenda kasi kwelikweli, kama hiyo plot iko maeneo hayo ntakupm nije kuichek.
 

Attachments

  • Dege1.jpg
    9.2 KB · Views: 106
  • Dege4.jpg
    8.9 KB · Views: 105
  • Dege5.jpg
    9.5 KB · Views: 106
  • Dege7.jpg
    9.8 KB · Views: 100
  • Dege3.jpg
    9.3 KB · Views: 108
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…