Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 384
Milion 1 na lak 2 nakuuziaHicho cha chinangali ni 35x70m manake?
Bei ya mwisho sh ngapi?
swali zuri sanaHuko Mahungu au huko chinangali ni umbali gani kutoka city center mana wengine ni wageni
Aiseee ukipata mteja mshikilie na muuzie fasta. Utakuja kunikumbuka!!!Habari zenu ndugu. Nauza viwanja viwili vipo Dodoma
Cha kwanza kipo Mahungu eneo la mnada mpya njia ya kwenda Singida. Kimepimwa kina full document, ukubwa wake ni kama nusu heka (viwanja vya zaman hawakuwa wanaandika square meters). Bei ni milioni 6, mazungumzo yapo kidogo.
Cha pili ni kiwanja cha kawaida chenye hati za kijiji. Kipo eneo la Chinangali njia ya kwenda Dar. Kina ukubwa wa nusu heka bei ni milioni moja na nusu , mazungumzo yapo.
Vyote vipo ndani ya makazi ya watu.
Nicheki kupitia 0629881844
Dodoma soon unakuwa mkoa, ukipata Msukuma akajipendekeza mpige fasta.Habari zenu ndugu
Nauza viwanja viwili vipo dodoma cha kwanza kipo mahungu eneo la mnada mpya njia ya kwenda singida kimepimwa kina full document ukubwa wake ni km nusu heka (viwnja vya zaman hawakua wanaandika squere m)
Bei ni milion 6 mazungumzo yapo kidogo
Cha pili ni kiwanja cha kawida chenye hati za kijiji kipo eneo la chinangali njia ya kwenda dar kina ukubwa wa nusu heka bei ni milion moja na nusu ,mazungumzo yapo
Vyote vipo ndani ya makazi ya watu
Nicheki 0629881844
Kutoka dodoma mjini mpka mahungu nauli mia nne kipo njia ya kwenda singidaHuko Mahungu au huko chinangali ni umbali gani kutoka city center mana wengine ni wageni