Viwanja vinauzwa eneo la Mbezi King'azi-Malambamawili

Kimeo

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
77
Reaction score
13
Kwa wale mnaohitaji viwanja vya 20 kwa 20 nimegawa eneo langu na ninauza kama nilivyoonesha.eneo halipo mbali na kinapojengwa Chuo kikuu cha muhimbili eneo la mloganzila.hakuna dalali,wasiliana moja kwa moja na kijana wangu aliepo shamba ili ukague,ukiridhika atanijulisha ili tumalizane.namba yake ni 0714 391 369 anaitwa Dick
 
Watanzania bwana,namba umepewA bado unauliza maswali tu
 
Hii kweli ni kutoka kwa kimeo yaelekea ni kimeo Malamba mawili na mlonganzira wapi na wapi?
 
Watanzania bwana,namba umepewA bado unauliza maswali tu

Ndugu wewe muuzaji wa ajabu,Yani unatafuta wateja halafu unakuwa mkali kwa kitu Kidogo!! Hakuna anayetaka kupoteza vocha kukupigia halafu akute bei ni kubwa kuliko uwezo

Weka bei ya kuanzia ili ajipime then ndio apige simu.Hili swala mbona jepesi sana kwanini kila siku tunaliiimba tu humu
 
Watanzania ni shida sana.
Anauza huku ana hasira kama kamfumania mkewe.
 
Sorry nilitoka kidogo.bei ni million I mbili na laki tano.(2.5mill)
 
Mbezi King'azi ipo sehemu gani hapa Dar Mkuu?
 

Huu mchezo si mgeni aghalabu kwa watu wengi!
 
King'azi kuna utapeli sana kaeni vizuri wengi wametapeliwa, Nina kaka yangu ametapeliwa.
 
King'azi kuna utapeli sana kaeni vizuri wengi wametapeliwa, Nina kaka yangu ametapeliwa.

Nivizuri kuwa makini na vijana wa vijiweni na hasa madalali,ndio maana kwenye malipo lazima niwepo mwenyewe,ili unione mwenye Mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…