Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,058
- 2,637
Weka bei basi kulingana na ukubwa ...simu za nn ,tunapiga simu tunakuja kununua
Nimepiga namba hiyo ya mwisho nimeambiwa niepukane na matapeli...mhMkuu,
Kuna maelezo mengi unatakiwa upatiwe, unaweza flash mojawapo ya hizo namba utapigiwa ili upewe maelezo toshelezi. Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 600 na kuendelea.
Mkuu,
Kuna maelezo mengi unatakiwa upatiwe, unaweza flash mojawapo ya hizo namba utapigiwa ili upewe maelezo toshelezi. Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 600 na kuendelea.
Ninakushukuru kwa ufafanuzi, umenisaidia kupata maelezo ya kina kuhusu eneo hilo