Plot4Sale Viwanja vinauzwa Goba Kisauke vimepiwa mita 400 kutoka lami, kuna umeme, maji na 4G kwa zote

Ili tangazo wameona shida gani wangeandika kwa lugha yetu ya Kiswahili? Huu ndo utumwa sa kibeberu kabisa
 
Bei 25,000 psqm, majadiliano ukishachagua. Ukubwa tafauti 440 hadi 1840, "serious" atatumiwa ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…