Dalali Mkombozi
Member
- Jun 26, 2015
- 56
- 21
Mkuu Unamfahamu Thobias Anderson??Viwanja vimepimwa, vipo ukubwa tofauti tofauti.
Ukinunua unasaidiwa kupata hati miliki.
Bei Tsh 18,000 Kwa Mita moja ya Mraba.
Contact: 0713226191
Hizo ndio dalili za kwamba unaingia chakaNasaidiwa vp mkuu na hali umesema vimepimwa?
Nasaidiwa vp mkuu na hali umesema vimepimwa?[/QUO
Hata me nashangaa kwa nini tena usaidiwe ilhali vimepimwa
Sio kila vilivyopimwa (surveyed) basi hua vina hati, vingine vinaweza kupimwa but vikaishia kwenye offer tu.Hizo ndio dalili za kwamba unaingia chaka