H.M.MUYANGO
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 110
- 9
Vipo umbali gani kutoka barabara kuu ya Bagamoyo?
kwa maelezo zaid piga simu namba hyo hapo juu! asante
Wewe unaonekana dalali haya maneno yote si ungesema tu 1km or 2km or 1m, 3m , 500m ungeeleweka vizuri. kwanini unaficha information?
ni biashara kwa hiyo nimekupen tangazo na kama unahitaj piga simu kama hutaki kaa kimya! kama mimi ni dalali wewe ni marketing manager okey! haikuhusu tuwe na adabu na tueshimiane sio lazima ukomenti na wewe uonekane umekomenti!

Jamaa inaonekana anapenda kupigiwa simu powa bana sina vocha nikiweka nakupigia hila nakaa mapinga hapa