Plot4Sale VIwanja vinauzwa Kerege

Plot4Sale VIwanja vinauzwa Kerege

mwalimu277

Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
18
Reaction score
54
VIWANJA VINAUZWA.

Eneo:- Kerege Urban Area(Kerege Kwa Kiwete).

Umbali Kutoka Main Road(Bagamoyo Rd):- 400M.

MAELEZO:-

-Viwanja Viko Sita(6) vyote vimepimwa na vina Hati Miliki(Title Deed).

-Viwanja ni vya Makazi na Biashara.

-Maji ya Dawasco na Umeme wa Tanesco upo hapo viwanjani.

-Eneo limejengwa Makazi na Huduma zote za kijamii zinapatikana i.e Shule,Maduka,Hospital etc.

-Barabara rasmi zilizopimwa na zinahudumiwa na Halmashauri na Tarura.

-Kuna Matunda ya Maembe viwanjani.

-Viwanja vimelipiwa Kodi ya Ardhi mpaka July 2021.

-Eneo linafaa na zuri kwa ujenzi wa Hospital,Godwn/Garage,Housing Estates,Kanisa,Msikiti etc.


Site Plan:
Kiwanja no 1-
(Commercial Plot)=9,443 SqM.

Kiwanja no. 2-
(Commercial Plot) =4,175 SqM.

Kiwanja no. 3-
(Residential Plot)=1,402 SqM.

Kiwanja no. 4-
(Residential Plot)=1,445 SqM.

Kiwanja no 5-
(Residential Plot)=1,304 SqM.

Kiwanja no. 6-
(Commercial Plot)=7,162 SqM.

Bei:-

Viwanja vya Biashara(Commercial)=Tshs 20,000 @ SqM.

Viwanja vya Makazi(Residential)=Tshs 15,000 @ SqM.

Contact:-

0715 499528.

IMG-20210412-WA0003.jpg


IMG-20210412-WA0002.jpg


IMG-20210412-WA0000.jpg


IMG-20210412-WA0001.jpg
 
samahani kiongozi, hivi kutoka hapo kerege mpaka posta ni kilometer ngapi?chuku
samahani kiongozi, hivi kutoka hapo kerege mpaka posta ni kilometer ngapi?
Chukua hii
Kerege to bunju b ni 8 or 9 kms
Bunju B to tegeta ni 13 to 14 kms
Tegeta to posta mpya ni 26 kms sasa hapo jumlisha mwenyewe maana hisabati nilikimbia toka chekechea ila hayo ni makadilio halisi ambayo nimekupa au ili kujilidhisha ingia ktk google map utapata jibu kamili
 
Nauza viwanja 2 vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m@ kwa aliye serious ani PM
 
Kerege to bunju b ni 8 or 9 kms
Bunju B to tegeta ni 13 to 14 kms
Tegeta to posta mpya ni 26 kms sasa hapo jumlisha mwenyewe maana hisabati nilikimbia toka chekechea ila hayo ni makadilio halisi ambayo nimekupa au ili kujilidhisha ingia ktk google map utapata jibu kamili
Mbali kichizi yani! Hata kama ndio home ila mazoezi sana yani utoke mjini mpaka home kwako? Nafikiria bora kuwa na mradi unauendesha tu uwe kama kazi yako ya kudumu huko huko bagamoyo!

Ulime na kufuga tu maisha yaende!
 
Back
Top Bottom