Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Town

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Town

Jose1973

Member
Joined
Apr 25, 2023
Posts
12
Reaction score
25
Vinauza viwanja kibaha Town, vimepimwa na vipo karibu na hospital mpya halmashauri ya mji Kibaha, mtaa wa Lulanzi na siyo mbali sana toka stendi mpya ya mabasi ya mwendokas Kibaha au stendi ya mabasi ya mikoani.

Vina miundo mbinu ya barabara, umeme upo karibu na maji yapo karibu. Bei ni sh 13,000 Tsh kwa sqm, mazungumzo yapo kwa serous buyer.

Ukubwa viwanja ni kuanzia sqm 1200sqm na kuendelea, for more information cont 0713 95 92 90.

20220426_172609.jpg
 
Viwanja vimepanda sana bei kibaha na Dodoma kwa hisani ya madalali [emoji276]400sqm =5200000tsh
 
But bei ya sqm ya ardhi iliyopo singida na kibaha ni tofauti kbs sasa hiv pale karibu stendi ya mwendokas kibaha inaenda mpaka sh 30,000 kwa sqm
 
Back
Top Bottom