Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni Vikunai vinatazamana na maghorofa ya NSSF

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
628
Reaction score
731
Viwanja vunauzwa Kigamboni Vikunai, vinatazamana na maghorofa ya NSSF.
Viwanja vina ukubwa wa mita 27*22

Price = million 5

Cont 0718 606739
0685 752509
Kwenda kuona viwanja site ni buree

 
Viwanja vinauzwa kigamboni daraja jipya la kigamboni vipo karibu na mkondo wa bahari mazingira mazuri .
Viwanja vinaanzia mita 10*10, 15*14.20*20 na 18*18
Viwanja vina anzia milion 4.5 , 5.5 mpaka milion 10
Kwamaelezo zaidi wasiliana nasi kwa
0718 606739
0685 752509
Kuona viwanja ni bureee

 
Mkuu huko si ndo Nssf wameweka vibao kuwa ni eneo lake?

Je wewe ni mtu wa mzee Mlete anaesema heka zaidi ya 200 ni zake?
 
Viwanja vizuri ambavyo vipo karibu na barabara ya rami
tunauza kuanzia mita 20*20 milion 10
Mita 20*15 milion 8
Viwanja vyote vina documents na vyote vinafikika
Kwa maelezo zaid piga simu 0718606739, 0685752509

 
Viwanja vuzur vipo karibu na barabara kigamboni Darajani
Vinatizamana na daraja pamoja na bahari
Viwanja vinaukubwa wa square mita 400
Bei milion 20
Kwa maelezo zaid piga
0718606739
0685752509
Kuona viwanja ni bureeeee kabisa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…