JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Mhhhh huko ule mradi wa Matajiri haugusi? Ni vya mtu binafsi amepima au ni vya manispaa? Kuna master plan maeneo husika,hope itakuwepo maana kwa siku hizi ni lazima towm planner ahakikishe kuwa iko master plan au kama haipo basi inaandaliwa kwa hiyo umiliki wa viwanja unaenda sambamba na use katika master plan.
Mi naona ujaribu kuwapigia simu kwa maelezo ya kina