Plot4Sale Viwanja vinauzwa kiluvya (vimepimwa)

GODLOVEME

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,644
Reaction score
494
Viwanja vinauzwa kiluvya (vimepimwa)

Bei kwa kila square mita ni 8000 Tshs

Kwa mawasiliano zaidi piga namba

0712252525
 
MI NNACHO UREFU 70M upana juu 28m, chini 16M BEI MIL.2 maongez yapo, kpo center na barabaran,barabara inatoka kongowe ya kbaha mpaka chanika,ksarawe kpo mpakan mwa kbaha na ksarawe panaitwa musese,maji kibao,mchanga,kokoto huku umefka mi pia nmejenga hapohapo, n mali yng c dalali. 0764726071
 
...jifunze kuandika na kuacha kudandia nyuzi za watu!
.si ungeanzisha wako?.kwani 'shing'ngapi?
 
Kimepimwa.
 
HAKIJAPIMWA BT PANATAMBULIWA NA SERIKALI YA KIJIJI..na makazi yapo kwa wingi hakuna migogoro yoyote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…