Nipo katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha upimwaji wa viwanja vilivyopo kimbiji sq mita moja itakua ni sh 12000..eneo lipo karibu kabisa na barabara kubwa ya kwenda mbagala,pia umeme upo karibu sana ...!!nyote mnakaribishwa...email adress.. rweyongezajastin@gmsil.com.
Kimbiji halafu barabara ya kwenda mbagala?!! Unapajua kweli kimbiji mkuu? Au mimi ndio siifahamu vizuri kigamboni!!! Anyways,embu nisaidie haya mambo mawili
1. Karibu kabisa na barabara ndio kitu gani mkuu? Taja umbali in terms of meters au kama vipo barabarani kabisa Sema
2. nishawishi kwanini nisinunue kwa ardhi plan ambao wanauza sqm 1 kwa sh 8000 tena hukohuko kimbiji na ninunue kwako ambaye unaanzia 12,000 kwa sqm
mkuu acha ujuaji....!!kma unaona ardhi plan wanauza kwa bei poa si ukanunue uko..?ni biashara huria mkuu au umesahau?kwa kukusaidia tu fatilia ujue viwanja vya ardhi plan hivyo unavyovisifia vipo maeneo gani na hivi vya kwangu vipo wapi..!!
Bado naendelea kuuza viwanja.
Bado naendelea kuuza viwanja.