MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 358
Hello,tunaomba kujua kama una taarifa za viwanja au kiwanja Kitopeni Bagamoyo kwa bei hiyo ya Tshs.6000-7500 per square meter au hata pungufu ya 12,000/= per square meter.Tafadhali tujulishe haraka tutavinunua vyote na hata kama ni kimoja!!!!
Aiseeee baba yangu mbona nilisikia bagamoyoo yote atapewa jei kei kama zawadi ya kustafu
ili afanye kilimo cha mananasi
mbege ya leo kweli si mchezo
Ujazo wa viwanja: Ujazo wa juu, kati na chini (kuanzia mita za mraba 600 hadi 2,000)