Kuna kitu watu huwa wanachanganya mkuu. Kuna Metre na Yard. Convertion unayoisema wewe ni ya 1 acre to Square yards. But in terms of square metres, 1 acre =4046 sq metres.
Asante
Usijali nikawaida sana mkuu. Hivi vipimo kama havihusiki katika taaluma yako huwa vinachanganya sana. Na mtaani watu wengi wanajua kama ulivyokuwa unajua wewe kabla.