S Sally Member Joined Feb 25, 2008 Posts 42 Reaction score 0 Sep 8, 2014 #1 Kwa anayehitaji kiwanja/viwanja ukubwa tofauti tofauti maeneo ya Madawa, Maji Matitu Charambe Mbagala. Wasiliana kwa no 0784 455 858
Kwa anayehitaji kiwanja/viwanja ukubwa tofauti tofauti maeneo ya Madawa, Maji Matitu Charambe Mbagala. Wasiliana kwa no 0784 455 858
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,101 Reaction score 441 Sep 8, 2014 #2 Kaka hivi kuna ubayagani kutoa hint ya bei na ukubwa wa hivo viwanja?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Sep 8, 2014 #3 Sally said: Kwa anayehitaji kiwanja/viwanja ukubwa tofauti tofauti maeneo ya Madawa, Maji Matitu Charambe Mbagala. Wasiliana kwa no 0784 455 858 Click to expand... Toa hint ya bei na ukubwa.
Sally said: Kwa anayehitaji kiwanja/viwanja ukubwa tofauti tofauti maeneo ya Madawa, Maji Matitu Charambe Mbagala. Wasiliana kwa no 0784 455 858 Click to expand... Toa hint ya bei na ukubwa.
BABU KIDUDE JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,587 Reaction score 918 Sep 8, 2014 #4 elimu kitu muhimu sana aseee,
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Sep 8, 2014 #5 jashmoe32 said: Kaka hivi kuna ubayagani kutoa hint ya bei na ukubwa wa hivo viwanja? Click to expand... Mkuu huyo atakua dalari kwahiyo alikua anapita akasikia maongezi ya mwenye kiwanja akakimbilia huku jf kutangaza kwahiyo bei ajaisikia vizuri ngoja akaurize vizuri,
jashmoe32 said: Kaka hivi kuna ubayagani kutoa hint ya bei na ukubwa wa hivo viwanja? Click to expand... Mkuu huyo atakua dalari kwahiyo alikua anapita akasikia maongezi ya mwenye kiwanja akakimbilia huku jf kutangaza kwahiyo bei ajaisikia vizuri ngoja akaurize vizuri,