Nestory Westone
Senior Member
- May 13, 2015
- 154
- 116
Kwa wanaohitaji viwanja ndani ya Dar es Salaam karibu Mbezi Makabe na Msumi.
1.Mbezi Msumi eneo limekatwa viwanja kadhaa kwa ukubwa tofauti kama ifuatavyo:
Mita 16*16 bei ni Tsh5,500,000/=
Mita 20*20 bei ni Tsh8,500,000/=
2.Mbezi Makabe eneo limekatwa kwa vipimo tofauti kama ifuatavyo:
Mita 25*25 bei ni Tsh15,000,000/=
Mita 30*30 bei ni Tsh25,000,000/=
Viwanja vyote vipo karibu na barabara kuu.
Mtu akishuka kwenye daladala anatembea kwa mguu haina ulazima wa usafiri.
Huduma mhimu zipo.
Mawasiliano ni kwa kunipigia au WhatsApp namba hii:
+255753786858
Ikitokea sijapokea tuma ujumbe wa maandishi.
Maeneo yangu ya kazi ni Ubungo(tunaweza kuonana kwa urahisi siku za kazi) Jumamosi na Jumapili muda mwingi napatikana Mbezi Louis.
Karibuni.