Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

KIPO - Dar-Es-Salaam-Tz
Wilaya - Kinondoni
Eneo - Mbweni Jkt
Sqm - 1237
Fully Documents

Bei - Mil 70
___

Interested dial
0712464777
0769070247
 
Kiwanja kinauzwa kipo Mambwepande. Wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam. Barabara ya bagamoyo road.

Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1094 kimepimwa kina hati. Kina uzwa million 20 maongezi yapo kidogo.

Kiwanja kipo mabwepande mji mpya karibu na kituo cha Polisi cha mabwepande. Miundo mbinu yote ipo like maji & Umeme. Nk

Kwa mawasiliano
PIGA SIMU

0712464777 Whatsap
0769070247

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba mpya ya kujitegemea yenye jumla ya vyumba vitatu inapangishwa ipo Boko Mianzini barabara ya Bagamoyo road ni nyumba mpya haijawahi kukaliwa na ya kisasa inapangishwa kwa kodi ya Tsh 600,000/ x 6 mwa mwezi

Piga simu

dalali [emoji116]

0712464777

Note : ukilipia nyumba pia utalipa na malipo ya mwezi mmoja wa dalali

 
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 1500 chenye hati miliki ni kiwanja cha pili kutoka usawa wa bahari ya hindi kinauzwa milion Tsh 300 milion maongezi yapo pia kipo meter chache kutoka barabara ya rami kama wewe ni mshua basi njoo ukae na washua wenzio huku msioijua mbweni ipo barabara ya bagamoyo road mbweni yote imezungukwa na bahari kiwanja ni kizuri sana.

Gharama za kuonyeshwa viwanja elfu 20000

Piga simu

0712464777



Sent from my CPH1723 using JamiiForums mobile app
 
Kiwanja nikizuri kipo flat hakituami maji kabisaa kipo mtaa mzuri majirani wazuri wamejenga nyumba nzuri na zakisasa kina ukubwa wa sqm 750 kimepimwa na kina hati kinauzwa Tsh milion 50 maongezi yapo kidogo.

Gharama ya kuonyeshwa viwanja Tsh Elfu 20000.

Piga simu

0712464777​


Sent from my CPH1723 using JamiiForums mobile app
 
๐–ช๐–จ๐–ถ๐– ๐–ญ๐–ฉ๐–  ๐–ช๐–จ๐–ญ๐– ๐–ด๐–น๐–ถ๐–  ๐–ณ๐–ฒ๐–ง ๐–ฌ๐–จ๐–ซ 190
๐–ฌ๐– ๐–ง๐– ๐–ซ๐–จ ๏ผ ๐–ฌ๐–ก๐–ถ๐–ค๐–ญ๐–จ JKT
๐–ฌ๐–ช๐–ฎ๐–  ๏ผ ๐–ฃ๐–ฒ๐–ฌ
๐–ถ๐–จ๐–ซ๐– ๐–ธ๐–  ๏ผ ๐–ช๐–จ๐–ญ๐–ฎ๐–ญ๐–ฃ๐–ฎ๐–ญ๐–จ
๐–ก๐–ซ๐–ฎ๐–ข๐–ช - 5
________
๐–ด๐–ช๐–ด๐–ก๐–ถ๐–  ๏ผ๐–ฒ๐–ฐ๐–ฌ 1000
๐–ด๐–ฌ๐–จ๐–ซ๐–จ๐–ช๐–จ ๏ผ ๐–ช๐–จ๐–ญ๐–  ๐–ง๐– ๐–ณ๐–จ ๐–ฒ๐– ๐–ฅ๐–จ
๐–ช๐–จ๐–ฌ๐–ค๐–น๐–ด๐–ญ๐–ฆ๐–ด๐–ฒ๐–ง๐–จ๐–ถ๐–  ๐–ด๐–ช๐–ด๐–ณ๐– 
_________

๐–ด๐–ฌ๐–ก๐– ๐–ซ๐–จ ๏ผ ๐–ช๐–จ๐–ซ๐–ฎ๐–ฌ๐–ค๐–ณ๐–ค๐–ฑ ๐Ÿฃ ๐–ช๐–ด๐–ณ๐–ฎ๐–ช๐–  ๐–กAGAMOYO ROAD
_________

๐–ช๐– ๐–ฑ๐–จ๐–ก๐–ด๐–ญ๐–จ ๐–ฒ๐– ๐–ญ๐–  ๐Ÿค
_________

0712464777
0769070247
0658337730
 

Attachments

  • IMG_5761.jpeg
    3.1 MB · Views: 5
  • IMG_5764.jpeg
    2.8 MB · Views: 3
  • IMG_5763.jpeg
    2.9 MB · Views: 3
  • IMG_5766.jpeg
    4.8 MB · Views: 4
Mvua zimeisha?
 
Mvua hakuna mkuu Mbweni Kama ulaya
Hebu jitahidi unaposema square meters fulani basi hebu utoe na vipimo kama ni 25 kwa 50 au ni 30 kwa 40 hii inampa mteja idea ya kitu gani anakwenda kukutana nacho. Hebu mtusaidie kwenye hilo madalali.
 
Bei imechangamka!....bei za hivi ndiyo maana Wabongo wanajenga kwenyr Skwata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ