Prof Kibogoyo
Senior Member
- May 31, 2016
- 112
- 164
Vikindu inapatikana wapi?
Mbele ya Mbagala,Kongowe,Mwandege then Vikindu.Vikindu inapatikana wapi?
post haijajitosheleza kimaelezo. mkoa gani,wilaya ipi, contact nkViwanja hivi vinapatikana Vikindu, vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, Umeme, Shule, Hospital n.k umbali kutoka Vikindu Stendi ni km 2
Ukubwa Futi 50 X 40 Milion 1
Ukubwa Futi 50 X 80 Milio 2 unaweza kuunga zaidi ya viwili. Wote mnakaribishwa 0679446337. View attachment 1700641View attachment 1700642View attachment 1700643View attachment 1700644
Nipatie vipimo kwa meters.Viwanja hivi vinapatikana Vikindu, vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, Umeme, Shule, Hospital n.k umbali kutoka Vikindu Stendi ni km 2
Ukubwa Futi 50 X 40 Milion 1
Ukubwa Futi 50 X 80 Milio 2 unaweza kuunga zaidi ya viwili. Wote mnakaribishwa 0679446337. View attachment 1700641View attachment 1700642View attachment 1700643View attachment 1700644
Vikindu inapatikana Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, ukitoka kiwanda cha Bhakresa kilichopo Mwandege inafuata Vikindu. Ni mji mzuri, umechangamka sanaVikindu inapatikana wapi?
Duh!!Bukoba
50 X 40 n mita 15 X 12 naNipatie vipimo kwa meters.
50x40 ni mita ngapi kwa ngapi?
50x 80 ni mita ngapi kwa ngapi?
Huduma zote ziko maeneo hayo?50 X 40 n mita 15 X 12 na
hicho 50 X 80 ni Mita 15 X 24
Ziko jirani, maji yapo ya visima vya kudrili, Umeme upo jirani na mradi, shule zipo za serikali jirani n.kHuduma zote ziko maeneo hayo?