Hata Kiswahili kimeshatushinda. Lugha za mama tushatemana nazo. Kimalkia ndiyo kabisaaa. Tupotupo tu yaani!Hivi shida iko kwa Walimu au Wanafunzi...
uduma...Huduma
mkuranga ....Mkuranga
kalibuni......karibuni...
Nadhani ana elimu ya hapa na paleHivi shida iko kwa Walimu au Wanafunzi...
uduma...Huduma
mkuranga ....Mkuranga
kalibuni......karibuni...
Huu ni uchafu anauza Sqm 180 alafu milioni 2.....Mira 15 kwa mita 12. Ambazo ni square mita 180