Plot4Sale Viwanja vinauzwa Morogoro

NAKA 7

New Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Viwanja vipo mita 500 kutoka Barabara kuu ya lami morogoro to dodoma,hakuna haja ya bodaboda, kutoka msamvu stand ni daladala moja nul ya manispaa. pamejengeka vizur sana, vipo ndani ya fansi kubwa, umeme upo, bei ni kuanzia milion 5 ukubwa wa 30 kwa 20, wasiliana kwa 0652644084/0734443403

 
posema viko ndani ya fensi kubwa unamaanisha nn? Kila kiwanja kilijengewa fensi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…