stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Mbona hujasema buswelu sehemu gani karibia na wapi? , na pia weka na bei kabisa watu tujue na kuamua maana tangazo lako halijakamilika mkuuKiwanja kinauzwa BUSWELU
Kwa wakazi wa mwanza kuna viwanja viwili vimeshikana vinauzwa maeneo ya Buswelu jijini Mwanza
Vimeshapimwa na vina Full Documents
PoaKiwanja kinauzwa BUSWELU
Kwa wakazi wa mwanza kuna viwanja viwili vimeshikana vinauzwa maeneo ya Buswelu jijini Mwanza
Vimeshapimwa na vina Full Documents
Mwanza hatanilipewa bure ardhi siwezi ikubali nimeona majamaa ya mwanza yaaroho ngumu kweli sukuma linakata bomba ya maji eti kisa yeye hana maji????