1.kiwanja ukubwa square meter 690 kipo block k tunduma(karibu na ukinga hill motel) kinauzwa tshs 8 milion kina offer
2. Viwanja viwili vipo chapwa vina offer vinauzwa @ tshs 4,000,000 havijalipwa fidia - bei ya fidia tshs 2 milion @ plot square meter 960
3.kiwanja kipo mlowo eneo la forest kina offer tshs 3,000,000 square meter 1100
4. Godown linauzwa tunduma eneo la soko jipya la kimataifa bei tshs 30 milion
Mlowo Kiwanja Milion 3 Labda Umuuzie Chaula ,,,au Na Wewe Nichinga Ongea Nae Mpaka Mwisho Moja Na Nusu. Aise Mkuu Uko Sahihi Lakin Kwa Bei Hiyo Mlowo Alafu Forest ,,,
Karibu, eneo la forest kwa sasa kwa taarifa yako kile kiwanja cha kujenga kituo cha mafuta nimekuza mwenyewe kwa 60 milion, hivyo usipokuwa na pesa wewe wengine wanayo!! karibu sana