Kankee mtoni
New Member
- Jan 7, 2018
- 3
- 0
Unyinga, mbele kidogo ya hospital ya rufaa pia manga vipoSingida sehem gani?
Viwanja bado vinapatikana Singida eneo la Mwaja kwa bei elekezi hapo juu. Kwa mawasiliano na muuzaji tumia namba +255178785Habari za humu ndani, viwanja vinauzwa vipo singida manispaa. Viwanja hivi vimepimwa bei ni kuanzia shilingi million 2 mpaka million 4 kulingana na ukubwa wa kiwanja. M² ni shilling 5,000 kwa residential purpose na 5,500 kwa commercial purpose. Karibuni sana #0629920169